• HABARI MPYA

  Friday, April 30, 2021

  MAN UNITED YATOKA NYUMA 2-1 NA KUICHAPA ROMA 6-2 OLD TRAFFORD

   TIMU ya Manchester United imetoka nyuma kwa 2-1 na kushinda 6-2 dhidi ya AS Roma katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya UEFA Europa League Uwanja wa Old Trafford.
  Mabao ya Manchester United yamefungwa na Bruno Fernandes mawili dakika ya tisa na lingine 71 kwa penalti, Edinson Cavani mawili pia dakika ya 48 na 64, Paul Pogba dakika ya 75 na Mason
   Greenwood dakika ya 86, wakati ya Roma yamefungwa na Pellegrini Pellegrini 15 na Edin Dzeko dakika ya 33.
  Mechi nyingine ya Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Europa League Villarreal imeshinda 2-1 dhidi ya Arsenal Uwanja wa Cerámica, huko Villarreal na timu hizo zitarudiana kesho.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YATOKA NYUMA 2-1 NA KUICHAPA ROMA 6-2 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top