• HABARI MPYA

  Friday, April 09, 2021

  ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 1- 1 NYUMBANI EUROPA LEAGUE


  ARSENAL imejiweka pagumu katika michuano ya UEFA Europa League baada ya kulazimishwa sare ya kufungana 1-1 na Slavia Praha kwenye mchezo wa Robo Fainali ya kwanza leo Uwanja wa Emirates, Jijini London. Nicolas Pépé alianza kuifunfia Arsenal dakika ya 86, kabla ya Tomáš Holeš dakika ua 90 na ushei na timu hizo zitarudiana Aprili 15 na mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla baina ya Dinamo Zagreb na Villarreal. Villarreal leo imeshinda 1-0 leo Uwanja wa Maksimir Jijini Zagreb.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 1- 1 NYUMBANI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top