• HABARI MPYA

  Saturday, April 03, 2021

  MAN CITY YAICHAPA LEICESTER 2-0 KING POWER


  MABAO ya Benjamin Mendy dakika ya 58 na Gabriel Jesus dakika ya 74 yameipa ushindi wa 2-0 Manchester City dhidi ya Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power.
  Kwa ushindi huo, Manchester City ya kocha Mspaniola, Pep Guardiola inafikisha pointi 74 baada ya kucheza mechi 31 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 11 zaidi ya 17 zaidi ya mahasimu wao, Manchester United wanaofuatia ingawa wana mechi mbili mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA LEICESTER 2-0 KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top