• HABARI MPYA

  Tuesday, April 20, 2021

  YANGA SC YAWATAMBULISHA WATUNISIA WAWILI KOCHA MKUU NA MSAIDIZI WAKE KUREJESHA MAKALI JANGWANI

   

  KLABU  ya Yanga SC leo imemtambulisha rasmi Mtunisia, Mohamed Nasreddine Nabi kuwa kocha wake mpya Mkuu, akichukua nafasi ya Mrundi, Cedric Kaze aliyefukuzwa mwezi uliopita.
  Pamoja na Nabi, Yanga imemtambulisha
  Mtunisia mwenzake, Sghir Hammadi kuwa Kocha Msaidizi, wote wawili wakisaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu. 
  "Nina furaha sana kuwa hapa, Yanga ni timu kubwa na nina matarajio makubwa ndani ya timu hii” amesema Nabi.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAWATAMBULISHA WATUNISIA WAWILI KOCHA MKUU NA MSAIDIZI WAKE KUREJESHA MAKALI JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top