• HABARI MPYA

  Saturday, April 03, 2021

  TAIFA STARS KUANZIA KINSHASA DHIDI YA DRC KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022

  TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaanzia ugenini mechi zake za Kundi J kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2022 nchini Qatar kwa kumenyana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kati ya Juni 5 na 8 mwaka huu.
  Baada ya hapo, Taifa Stars iliyo chini ya kocha Mdenmark sasa, Kim Poulsen itamenyana na Madagascar kati ya Juni 11 na 14 na Benin kati ya Septemba 1 na 4 mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa hapa Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS KUANZIA KINSHASA DHIDI YA DRC KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top