• HABARI MPYA

  Tuesday, April 06, 2021

  SIMBA SC WAIFUATA AL AHLY KIKAMILIFU KWA AJILI YA MECHI YA MWISHO YA MAKUNDI IJUMAA JIJINI CAIRO


  KIKOSI cha Simba SC kimeondoka jioni ya leo Dar es Salaam kwenda Misri kwa ajili ya mchezo wake wa mwisho wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Al Ahly Ijumaa Jijini Cairo.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAIFUATA AL AHLY KIKAMILIFU KWA AJILI YA MECHI YA MWISHO YA MAKUNDI IJUMAA JIJINI CAIRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top