• HABARI MPYA

  Tuesday, April 20, 2021

  SIMBA SC YAITANGAZA KAMPUNI YA VUNJA BEI MSHINDI WA TENDA YA KUUZA JEZI ZA KLABU HIYO

   

  MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wameitangaza Kampuni ya Vunja Bei kuwa mshindi wa tenda ya kuuza jezi za klabu hiyo.
  Vunjabei imesema itatengeneza vitu vingi kama jezi, fulana, kava za simu, miwani, saa, kofia, soksi, viatu, mabegi na vitu vingi vyenye nembo ya Simba.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAITANGAZA KAMPUNI YA VUNJA BEI MSHINDI WA TENDA YA KUUZA JEZI ZA KLABU HIYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top