• HABARI MPYA

  Sunday, April 25, 2021

  MAN CITY WATWAA CARABAO YA NNE MFULULIZO ENGLAND

   

  TIMU ya Manchester City imetwaa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup kwa mara ya nne mfululizo kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspur leo bao pekee la Aymeric Laporte dakika ya 82 Uwanja wa Wembley.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY WATWAA CARABAO YA NNE MFULULIZO ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top