• HABARI MPYA

  Sunday, April 25, 2021

  MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA LEEDS UNITED

   

  TIMU ya Manchester United imelazimishwa sare ya 0-0 na Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Elland Road Elland Road, Leeds, West Yorkshire.
  Kwa sare hiyo, Manchester United inafikisha pointi 67 na inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi 10 na vinara, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 33.
  Leeds United wao wanafikisha pointi 47 katika nafasi ya tisa wakiizidi pointi moja Arsenal baada ya wote kucheza mechi 33 pia.
  x
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA LEEDS UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top