• HABARI MPYA

  Sunday, April 11, 2021

  LACAZETTE APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA SHEFFIELD 3-0  TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Sheffield United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Bramall Lane, Sheffield.
  Mabao ya Arsenal yamefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 33 na 85 na Martinelli dakika ya 71.
  Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 45 baada ya kucheza mechi 31 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Sheffield inaendelea kushika mkia ikibaki na pointi zake 14 za mechi 31.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LACAZETTE APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA SHEFFIELD 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top