• HABARI MPYA

  Thursday, April 08, 2021

  CHELSEA YAICHAPA PORTO 2-0 HISPANIA LIGI YA MABINGWA


  MABAO ya nyota wa England, kiungo Mason Mount dakika ya 32 na beki Ben Chilwell dakika ya 85 jana yaliipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya FC Porto ya Ureno katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla, Hispania.
  Timu hizo zitarudiana Aprili 13 Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London na mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla baina ya Real Madrid na Liverpool. Real ilishinda 3-1 mechi ya kwanza juzi Hispania.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA PORTO 2-0 HISPANIA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top