• HABARI MPYA

  Thursday, April 15, 2021

  REAL MADRID YAITUPA NJE LIVERPOOL LIGI YA MABINGWA

   

  TIMU ya Real Madrid imetinga Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya sare ya 0-0 na wenyeji, Liverpool usiku wa jana Uwanja wa Anfield.
  Real inasonga mbele kwa ushindi wa 3-1 iliyovuna kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita Hispania na sasa watamenya na Chelsea ya England iliyoitoa FC Porto ya Ureno.
  x
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAITUPA NJE LIVERPOOL LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top