![]() |
BAO pekee la mshambuliaji Mnigeria, Kelechi Promise Iheanacho dakika ya 55 limeipa Leicester City ushindi wa 1-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la FA England Uwanja wa Wembley Jijini London.
Sasa Leicester City itakutana na Chelsea iliyoitoa Manchester City jana katika Fainali itakayopigwa Mei 15 hapo hapo Wembley.
0 comments:
Post a Comment