• HABARI MPYA

  Tuesday, April 06, 2021

  DEMBELE AIFUNGIA BAO PEKEE BARCELONA YAICHAPA REAL 1-0


  MSHAMBULIAJI Mfaransa, Ousmane Dembele akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 90 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Valladolid kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja Camp Nou.
  Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 65 na kurejea nafasi ya pili, wakiizidi pointi mbili Real Madrid, wote wakiwa nyuma ya Atletico Madrid yenye pointi 66 baada ya timu hizo zote kucheza mechi 29
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DEMBELE AIFUNGIA BAO PEKEE BARCELONA YAICHAPA REAL 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top