MIQUISSONE MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI MACHI, GWAMBINA YATOA KOCHA BORA
KIUNGO wa kimataifs wa Msumbiji, Luis Miquissone wa Simba SC ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Machi, 2021. Naye kocha Mohammed Badru wa Gwambina FC ametwaa tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu kwa mwezi huo.
0 comments:
Post a Comment