• HABARI MPYA

  Friday, April 02, 2021

  TFF YAMFUNGIA MWAKALEBELA MIAKA MITANO KUTOJIHUSISHA NA SOKA KWA TUHUMA ZA KULETA UCHOCHEZI


  KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia miaka mitano Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Frederick Mwakalebela kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa makosa ya kimaadili.
  Pamoja na kifungo hicho, TFF imemtoza Mwakalebela faini ya Sh. Milioni 5 baada ya kutiwa hatiani kwa maneno ya uchochezi.
  x
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAMFUNGIA MWAKALEBELA MIAKA MITANO KUTOJIHUSISHA NA SOKA KWA TUHUMA ZA KULETA UCHOCHEZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top