• HABARI MPYA

  Wednesday, April 21, 2021

  YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA KLABU YA RAJA CASABLANCA YA MOROCCO

   

  KLABU ya Yanga leo imeingia makubaliano ya ushirikiano na Klabu ya Raja Club Athletic ya Morocco, maarufu Raja Casablanca.
  Ushirikiano huo utahusisha masuala mbalimbali ya maendeleo baina ya klabu hizo mbili zenye historia kubwa barani Afrika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA KLABU YA RAJA CASABLANCA YA MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top