Mshambuliaji Rodrigo akishangilia baada ya kuifungia Hispania mabao mawili dakika ya 13 na 50 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Faroe Islands kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya El Molinon mjini Gijon. Mabao mengine yalifungwa na Paco Alcacer mawili pia dakika ya 89 na 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment