Kingsley Coman akiifungia Ufaransa katik ushindi wa 4-1 dhidi ya Albania usiku wa jana katika mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Coman alifunga mabao yake dakika ya nane 8 na 68, huku mengine yakifungwa na Olivier Giroud dakika ya 27 na Nanitamo Jonathan Ikone dakika ya 85, kabla ya Sokol Cikalleshi kuwafungia bao la kufutia machozi wageni kwa penalti dcakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Al-Mustapha blasts Northern leaders
-
Former Chief Security Officer to late Head of State, General Sani Abacha,
Major Hamza Al-Mustapha (rtd), yesterday delivered a scathing assessment of
Nor...
19 seconds ago



.png)
0 comments:
Post a Comment