Refa Ivan Kruzliak akimuonyesha kadi nyekundu beki Mgiriki wa Arsenal, Sokratis Papastathopoulos dakika ya 41 kufuatia kumuonyesha kadi ya pili ya njano baada ya kumchezea rafu Ismaila Sarr wa Rennes katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Roazhon Park mjini Rennes, Ufaransa. Renees ilishinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Benjamin Bourigeaud dakika ya 42, Nacho Monreal aliyejifunga dakika ya 65 na Sarr dakika ya 88, wakati la Arsenal inayotakiwa kushinda 2-0 kwenye mchezo wa marudiano Machi 14 London, lilifungwa na Alex Iwobi dakika ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jonjo Shelvey opens up on turbulent spell in Turkey as former Liverpool
star reveals the events that led to his sleeping pill addiction
-
Jonjo Shelvey has opened up on his sleeping pill addiction and the
difficult time he endured during his rollercoaster spell in Turkey.
41 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment