TAIFA STARS YA ‘MAFUNDI’ JUMA MGUNDA, ATHUMANI CHINA, MASHA, MWAKALEBELA NA MOGELLA 1989
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia Juma Mgunda, Athumani China, David Mwakalebela, Hussein Masha na Zamoyoni Mogella wakisalimiana na mgeni rasmi kabla ya moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1989
0 comments:
Post a Comment