Kocha wa zamani wa Watford na Hull City, Mreno Marco Silva akiwa ameshika skafu ya timu ya Everton baada ya kutambulishwa kuwa kocha mpya wa klabu hiyo kufuatia kusaini mkataba wa kujiiunga na klabu hiyo, akichukua nafasi ya Sam Allardyce aliyefukuzwa miezi sita tangu apewe nafasi ya Ronald Koeman PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment