Bingwa wa dunia wa ngumi za kulipwa ambaye hajawahi kupoteza pambano, Floyd Joy Mayweather Jr. ameposti picha hii akiwa na mwanawe Koraun kumpongeza kwa kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu, akjivunia sana hilo kwa sababu yeye mwenyewe hakusoma kutokana na kujikita kwenye mchezo wa ndondi mapema.
0 comments:
Post a Comment