• HABARI MPYA

  Wednesday, October 04, 2017

  TAIFA STARS MAZOEZINI LEO UWANJA WA BOKO VETERANI

  Winga wa Difaa Hassan El Jadida ya Morocco, Simon Msuva (kushoto) akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Sony Sugar ya Kenya, Hamisi Abdallah wakati wa mazoezi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Uwanja wa Boko Veterani, Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
  Nahodha wa Taifa Stars, mshambuliaji wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta (kushoto) akipiga hesabu za kumtoroka beki wa Simba, Salim Mbonde 
  Beki wa Yanga, Gardiel Michael akimtoka beki wa Simba, Erasto Nyoni leo 
  Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Hajib (kushoto) akiwania mpira dhidi ya Maganga wa Mbao FC 
  Kiungo wa Azam FC, Himid Mao Mkami akimiliki mpira katikati ya wachezaji wenzake
  Simon Msuva (kushoto) akimpita kwa ustadi Himid Mao katika mazoezi hayo ya kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi Jumamosi ijayo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS MAZOEZINI LEO UWANJA WA BOKO VETERANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top