Cristano Ronaldo wa Real Madrid (kulia) akimkaripia mchezaji wa Tottenham Hotspur, Jan Vertonghen (kushoto) jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid, Hispania wakati wa mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya uliomalizika kwa sare ya 1-1. Raphael Varane alianza kujifunga dakika ya 28 kabla ya Ronaldo kuisawazishia Real dakika ya 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Agyemang: "The club means everything to me"
-
Our 18-year-old forward speaks after signing her first professional
contract with the club
1 minute ago
0 comments:
Post a Comment