Gabriel Jesus akishangilia kwa staili yake maarufu baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 13 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Napoli ya Italia usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad. Raheem Sterling alianza kuwafungia Man City dakika ya nane wakati Amadou Diawara aliifungia Napoli dakika ya 71 baada ya Fernandinho kumuangusha Faouzi Ghoulam kwenye boksi. Ederson aliokoa penalti ya Dries Mertens baada ya Kyle Walker kumshika Raul Albiol kwenye boksi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
LG autonomy: NLC warns govs against undermining court order
-
• Says release of funds shouldn’t be at whims, caprices of govt From
Adanna Nnamani, Abuja President of the Nigeria Labour Congress (NLC), Joe
Ajaero,...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment