// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NGORONGORO HEROES MAZOEZINI LEO UWANJA WA KARUME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NGORONGORO HEROES MAZOEZINI LEO UWANJA WA KARUME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Wednesday, October 04, 2017

  NGORONGORO HEROES MAZOEZINI LEO UWANJA WA KARUME

  Kiungo wa Yanga, Mussa Said (kulia) akimdhibiti Cyprian Benedictor wa Toto Africans wakati wa mazoezi ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes leo Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam
  Mshambuliaji Muhsin Malima wa Mtibwa Sugar akimpita Ally Ng'anzi wa Mbao FC katika mazoezi ya Ngorongoro 
  Ibrahim Abdallah wa Miembeni City (kulia) akipambana na Vitalis Mayanga wa African Lyon
  Mussa Said wa Yanga akipambana katikati ya Kevin Nashon wa JKT Ruvu na Shaaban Zubeiry Ada wa Lipuli
  Kiungo Rajab Odasi wa Azam akimfunga kipa Abdultwalib Mshedi wa Mtibwa
  Ibrahim Abdallah wa Miembeni City (juu kuia) akipiga kicha mbele Dickson Job wa Mtibwa Sugar
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NGORONGORO HEROES MAZOEZINI LEO UWANJA WA KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top