• HABARI MPYA

  Wednesday, October 04, 2017

  AIRTEL YASAPOTI MICHUANO YA SOKA YA VIJANA KINONDONI

  Meneja Mauzo Kanda ya Dar es Salaam Airtel Tanzania Brighton Majwala (kulia) akimkabidhi vifaa vya mchezo Katibu Mkuu wa Chama cha Soka wilaya ya Kinondoni (KIFA) Funia A. Funia (kushoto) kwa ajili ya mashindano ya Chipukizi Cup yanayotarajiwa kuanza Oktoba 8 kwenye viwanja vinne vya wilaya hiyo. Wa pili kushoto ni Katibu wa mashindano ya vijana wa wilaya hiyo Abdallah Singano na Meneja Miradi Airtel Tanzania Jane Matinde.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AIRTEL YASAPOTI MICHUANO YA SOKA YA VIJANA KINONDONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top