Nyota wa Paris Saint-Germain, Neymar Junior akiugulia maumivu ya kidole gumba wakati wa mazoezi ya timu yake ya taifa, Brazil jana kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Bolivia na Chile japokuwa imekwishajihakikishia tiketi ya michuano hiyo ya Urusi mwakani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment