// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MABINTI WA NIGERIA NA WA TANZANIA KATIKA PICHA JANA AZAM COMPLEX - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MABINTI WA NIGERIA NA WA TANZANIA KATIKA PICHA JANA AZAM COMPLEX - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, October 02, 2017

  MABINTI WA NIGERIA NA WA TANZANIA KATIKA PICHA JANA AZAM COMPLEX

  Mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20, Rukia Anaf (kushoto) akimpita mchezaji wa Nigeria, Florence Ijamilusi jana katika mchezo wa marudiano wa kufuzu Kombe la Dunia mwakani nchini Ufaransa. Nigeria 'Falconets' ilishinda 6-0 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 9-0 baada ya kushinda 6-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita kwao  
  Mary Imo wa Falconets (kushoto) akimfunga kipa wa Tanzanite, Wema Rashid (kulia) jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam 
  Amoo Bashrat wa Nigeria akimpita beki wa Tanzania, Hadija Mohamed
  Shamim Hamisi wa Tanzania akimiliki mpira mbele ya Florence Ijamilusi wa Nigeria 
  Kikosi cha Nigeria jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam  
  Kikosi cha Tanzanite jana Uwanja wa Azam Complex kabla ya mchezo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MABINTI WA NIGERIA NA WA TANZANIA KATIKA PICHA JANA AZAM COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top