• HABARI MPYA

  Monday, October 02, 2017

  MESSI ALIVYOPIGA MBILI JANA BARCA IKIICHAPA 3-0 LAS PALMAS

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Lionel Messi akinyoosha vidole juu katika staili yake maarufu ya kushangilia baada ya kufunga Barceloma mabao mawili dakika za 70 na 77 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Las Palmas kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ALIVYOPIGA MBILI JANA BARCA IKIICHAPA 3-0 LAS PALMAS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top