Beki Mats Hummels akienda juu kumalizia mpira wa kona wa Arjen Robben kuifungia bao la tatu Bayern Munich dakika ya 51 katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Thomas Muller dakika ya 17 na Joshua Kimmich dakika ya 29 huo ukiwa mwendelezo wa matokeo mazuri tangu kurejea kwa kocha Jupp Heynckes PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Little offence from Blue Jays in another loss to Rays
-
Toronto is 6 1/2 games out of the final AL wild card spot.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment