Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Chelsea dakika ya 71 na 90 na ushei katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 12 na Cesar Azpilicueta dakika ya 87, wakati ya Watford yamefungwa na Abdoulaye Doucoure dakika ya 45 na ushei na Roberto Pereyra dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Athletics: World Indoor Championships
-
Live coverage from day two of the 2025 World Indoor Athletics Championships.
58 minutes ago
0 comments:
Post a Comment