Kikosi cha Yanga mwaka 1994; kutoka kulia waliosimama ni Suleiman Mkati, Kenneth Mkapa, Steven Nemes, Constantine Kimanda na Salum Kabunda. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu), James Tungaraza (marehemu), Edibily Lunyamila, Sekilojo Chambua na Nico Bambaga (marehemu).
0 comments:
Post a Comment