Danny Drinkwater akimuinua juu Riyad Mahrez baada ya kufunga bao la pili dakika ya 59 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Hull City leo Uwanja wa King Power katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Leicester yalifungwa na Christian Fuchs dakika ya 27 na Tom Huddlestone aliyejifunga dakika ya 90, wakati la Hull lilifungwa na Sam Clucas dakika ya 14. Huu ni ushindi wa pili mfululizo tangu imfukuze kocha Claudio Ranieri ikiwa chini ya kocha wa muda, Craig Shakespeare PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Veteran Rodgers says he will retire after 2026 season
-
Veteran quarterback Aaron Rodgers says he will retire at the end of the
2026 NFL season after signing a new one-year contract with the Pittsburgh
Steelers.
31 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment