INSPEKTA HAROUN NA GANGWE MOB ENZI ZAKE ALIWAPAGAWISHA KINOMA
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Inspekta Haroun wa kundi la Gangwe Mob akitumbuiza kwenye uzinduzi wa albamu ya Kimya Kingi ya kundi la Unique Sisters katika eneo la bwawa la kuogelea la hoteli ya Kilimanjaro ‘Pool Side’ mwaka 1999
0 comments:
Post a Comment