Bondia Timoth Bradley akikaa chini ya kuzidiwa na uzito wa ngumi ya Manny Pacquiao katika raundi ya tisa hiyo ikiwa mara ya pili kwenye pambano hilo la raundi 12 uzito wa Welter baada ya awali kumuangusha raundi ya saba ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas, Marekani. Pacquiao alishinda kwa pointi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lawyer urges Ogun govt to fill vacant Alakenne throne
-
Following the judgment of the Supreme Court, renowned legal practitioner
and Senior Advocate of Nigeria, Olumide Sofowora, has called on the Ogun
State g...
34 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment