Eliaquim Mangala wa Manchester City akimtoka Moussa Sissoko wa Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St James' Park usiku wa Jumatatu timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Bao la City lilifungwa na Sergio Aguero kwa kichwa dakika ya 14, kabla ya Vurnon Anita kuiswazishia Newcastle dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment