• HABARI MPYA

  Monday, April 25, 2016

  MASHABIKI COASTAL NA YANGA WALIVYOSUUZIKA NA ROHO ZAO JANA MKWAKWANI

  Mashabiki wa soka wakishuhudia mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Chama cha Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup jana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mchezo huo uliokuwa uchezwe kwa dakika 120, ulivunjika dakika ya 110 baada ya baadhi ya mashabiki kumjeruhi kwa jiwe, mshika kibendera namba mbili, Charles Simon wa Dodoma Yanga ikiwa inaongoza kwa mabao 2-1
  Mashabiki wa kike wakiufuatilia mchezo huo kwa hisia kali wakati Coastal inaongoza kwa bao 1-0 kabla ya Yanga kupindua matokeo
  Mashabiki wa Yanga wakifurahia baada ya timu yao kupata mabao mawili

  Mashabiki wa Yanga wakati Coastal inaongoza kwa bao 1-0 jana

  Mashabiki wa Coastal baada ya Yanga kupata mabao mawili na kuongoza kwa 2-1

  Mashabiki wa Yanga wakifurahia wakati timu yao imepindua matokeo jana Mkwakwani

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI COASTAL NA YANGA WALIVYOSUUZIKA NA ROHO ZAO JANA MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top