• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 22, 2016

  ROONEY AKIMPA MAARIFA YOUNG KABLA YA KUIVAA EVERTON KESHO KOMBE LA FA

  Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akimuonyesha kitu mchezaji mwenzake, winga Ashley Young wakati wa mazoezi ya timu hiyo jioni ya leo Uwanja wa mazoezi wa Aon Complex kujiandaa na mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la FA dhidi ya Everton Jumamosi Uwanja wa Wembley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ROONEY AKIMPA MAARIFA YOUNG KABLA YA KUIVAA EVERTON KESHO KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top