• HABARI MPYA

  Saturday, April 23, 2016

  IHEANACHO APIGA MBILI MAN CITY IKIUA 4-0 ENGLAND

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigerian, Kelechi Iheanacho akimtungua kipa wa Stoke City, Jakob Haugaard aliyetokea benchi kuifungia bao la nne Manchester City katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Etihad. Iheanacho alifunga mawili, mengine mawili akifunga Sergio Aguero moja kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IHEANACHO APIGA MBILI MAN CITY IKIUA 4-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top