• HABARI MPYA

  Thursday, April 28, 2016

  CHELSEA WABINGWA TENA KOMBE LA FA LA VIJANA ENGLAND

  Dujon Sterling akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu ya vijana chini ya umri wa miaka 18 ya Chelsea bao la kwanza katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la England kwa vijana wa umri huo dhidi ya Manchester City Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Tammy Abraham na Fikayo Tomori huku bao pekee la Man City likifungwa na Brahim Abdelkader Diaz, hivyo makinda hayo ya The Blues kutwaa tena ubingwa wa U-18 wa FA kwa ushindi wa jumla wa 4-2 baada ya awali kutoa sare ya 1-1 mjini Manchester PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA WABINGWA TENA KOMBE LA FA LA VIJANA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top