Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akienda chini baada ya kupitiwa na beki wa Villarreal, Daniele Bonera katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumatano Uwanja wa Santiago Bernabeu. Real imeshinda 3-0, mabao ya Karim Benzema, Lucas Vazquez na Luka-Modric PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment