Mkurugenzi wa Soka wa Club Deportivo Tenerife (kulia), akimkabidhi jezi ya timu hiyo, Mkurgenzi wa Azam FC ya Tanzania, Yussuf Bakhresa leo makao makuu ya klabu hiyo mjini Tenerife, Hispania
Yussuf yupo Hispania kufuatilia majaribio ya winga wa Azam FC, Farid Mussa katika klabu hiyo
0 comments:
Post a Comment