Gareth Bale akitimua mbio kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Rayo Vallecano kwenye mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Rayo Vallecano. Bale alifunga mabao mawili, wakati lingine limefungwa na Vazquez 52 huku ya wenyeji yakifungwa na Embarba na Fedor Flores PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Japan fight back twice to earn 2-2 draw with Netherlands
-
Japan produced a spirited comeback to hold Netherlands to a thrilling 2-2
draw in their opening Group F match at the 2026 FIFA World Cup in Dallas.
The p...
10 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment