Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu wa Rais, Rashid Mfaume Kawawa (katikati, sasa marehemu) maarufu kwa jina la Simba wa Vita enzi za uhai wake, akiwa na wanamichezo wa Tanzania waliofanya vizuri kwenye Michezo ya Afrika (AAG) mwaka 1973 mjini Lagos, Nigeria – bondia Habib Kinyogoli ‘Master’ (kulia) aliyetwaa Medali ya Shaba na mwanariadha Filbert Bayi aliyeshinda Medali ya Dhahabu
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment