Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane (kushoto) akishangilia na Jan Vertonghen baada ya kuifungia mabao mawili timu yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Britannia. Mabao mengine ya Spurs yalifungwa na Dele Alli na sasa timu hiyo inafikisha pointi 68 baada ya kucheza mechi 34 na kuendelea kukaa nafasi ya pili nyuma ya Leicester City yenye pointi 73 za mechi 34 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment