• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 26, 2016

  ONDOA SHAKA, MTAMBO WA MABAO RONALDO UTAKUWEPO LEO ETIHAD

  HAKUNA tena wasiwasi juu ya Cristiano Ronaldo kukosekana katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo dhidi ya wenyeji, Manchester City Uwanja wa Etihad.
  Ronaldo aliyekuwa majeruhi yuko fiti na atacheza leo baada ya kufanya mazoezi na wenzake.
  Hofu ilikuwa kubwa baada ya Cristiano Ronaldo kukosekana mwishoni mwa wiki Real Madrid ikishinda 3-2 dhidi ya Rayo Vallecano katika mchezo wa La Liga na ikaonekana kama atakosekana na leo pia dhidi ya Manchester City.


  Mtambo wa mabao Ligi ya Mabingwa Ulaya, Cristiano Ronaldo utakuwepo leo Etihad 

  GONGA HAPA UKATAZAME REKODI YA RONALDO DHIDI YA MANCHESTER CITY TANGU YUPO MAN UNITED

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ONDOA SHAKA, MTAMBO WA MABAO RONALDO UTAKUWEPO LEO ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top