• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 28, 2016

  YANGA NA MGAMBO KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mfungaji wa mabao mawili ya Yanga katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Mgambo JKT kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Deus David Kaseke akiambaa na mpira mbele ya wachezaji wa timu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kutoka Kabuku mkoani Tanga 

  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kulia) akipambana na mchezaji wa Mgambo jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

  Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan akiambaa na mpira pembeni ya mshambuliaji wa Mgambo, Bolly Shaibu

  Kiungo wa Yanga, Salum Telela (kushoto) akimtoka mchezaji wa Majimaji

  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto) akimtoka beki wa Mgambo JKT jana

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Paul Nonga (kushoto) akipambana mbele ya 'nyomi' la wachezaji wa Mgambo JKT

  Kikosi cha Yanga SC jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kabla ya mchezo na Mgambo JKT

  Kikosi cha Mgambo JKT jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kabla ya mchezo na Yanga SC 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA MGAMBO KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top