• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 25, 2016

  JAMIE VARDY ATWAA TUZO MAALUM YA REKODI YA MABAO ENGLAND

  Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy (kulia) akipokea tuzo maalum ya Chama cha Wachezaji wa Kulipwa England (PFA) baada ya kuvunja rekodi ya mabao katika msimu huu wa Ligi Kuu ya England kufuatia kufunga katika mechi 11 mfululizo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JAMIE VARDY ATWAA TUZO MAALUM YA REKODI YA MABAO ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top